Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » DIAMOND,OMMY DIMPOZ NA VANESSA MDEE WAIKAMILISHA TANZANIA KIMATAIFA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Wikiend iliyopita Diamond, Vanessa na Ommy Dimpoz wameiwakilisha vyema Tanzania katika tuzo za AFRIMMA zilizofanyika Marekani..

Vanessa kawashukuru watanzania kwa kuwapigia kura, anajisikia faraja sana kushinda tuzo ya pili kimataifa, anasema imefungua kurasa mpya katika maiaha yake ya muziki.. 

pia amewataka wasanii wa kike wajitokeze katika sanaa hii.

Diamond baada ya kupata tuzo ya kwanza kati ya tatu alizopata aliidedicate kwa mtoto wake Tiffah..amesema ilikua ni moja ya ndoto zake na alitamani sana kupata tuzo hizo akiwa na mtoto,..

Diamond anasema kuwa na mtoto kumemfanya azidi kufanya kazi kwa bidii sana ili mtoto wake aje kuishi maisha mazuri

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / DIAMOND,OMMY DIMPOZ NA VANESSA MDEE WAIKAMILISHA TANZANIA KIMATAIFA

No comments :