Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » HUKO BRAZILI MESSI NI BORA ZAIDI YA CHRISTIANO RONALDO
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Makocha 20 ambao ni professional wa masuala ya soka Brazil wamekutana na kupiga Kura ya kumchagua nani mchezaji bora wa soka kati ya Lionel Messi, raia wa Argentina anayekipiga katika klabu ya Barcelona, na Cristiano Ronaldo raia wa Ureno anayekipiga klabu ya Real Madrid ya Hispania.

Lionel Messi na Cristiano Ronaldo

Kati ya Kura hizo 20, Messi alipata Kura 14, huku Ronaldo akipata Kura 5 na Kura moja ilibaki wazi baada ya Kocha mmoja kushindwa kuamua Kura yake ampe nani !!

Katika mchakato huo Makocha hao waliulizwa ikitokea wanawekewa pesa mezani wamsaini mkali mmoja kati ya hao wawili, Kura nyingi ndio hizo zikaenda kwa Messi japo hayuko kwenye hali nzuri kwa sasa.

Messi anaendelea kukaa benchi la Barcelona akitibiwa jeraha la mguu, lakini kuna stori pia ya kesi inayohusu madeni ya Kodi inayomkabili baba yake mzazi wakati akiwa Hispania, vitu ambavyo huenda vinamchanganya zaidi kwa sasa.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / HUKO BRAZILI MESSI NI BORA ZAIDI YA CHRISTIANO RONALDO

No comments :