Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » NOMA SANA!!!! WAFUNGWA WAHITIMU CHUO, WANAINGIA KUHUBIRI MAGEREZANI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mara nyingi watu wanaotumikia Vifungo Gerezani huwa hawana uhuru wa kushiriki mambo mengi ikiwemo kusoma Shule, nimekutana na hii stori toka Kenya ambapo watu 16 ambao wanatumikia Kifungo wamepata nafasi ya kusoma na kuhitimu Diploma ya Theology.

Watu hao wanatumikia Kifungo Gereza la Kapsabet lililopo Wilaya ya Nandi, wameishukuru Serikali kwa kupewa nafasi ya kusoma Theology na baada ya kutunukiwa vyeti vyao Ijumaa ya October 23 2015 .

Theology ni elimu ambayo inahusisha masuala ya Dini kwa hiyo Wafungwa hao watakuwa wanatoa Huduma ya kuhubiri Magereza mbalimbali ikiwemo hilo la Kapsabet ambamo wamefungwa wenyewe.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / NOMA SANA!!!! WAFUNGWA WAHITIMU CHUO, WANAINGIA KUHUBIRI MAGEREZANI

No comments :