Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » OFISI ZA CUF ZANZBAR ZAZINGIRWA NA KIKOSI CHA USALAMA, NI BAADA YA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD KUJITANGAZIA USHINDI....
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

 hali ya Usalama Zanzibar sio nzuri, Polisi wameizingira Ofisi kuu ya CUF baada ya mgombea urais wa chama hicho,Maalim Seif Sharif Hamad kujitangaza mshindi dhidi ya mpinzani wake ambaye Dr All Mohamed Shein

 Hali sio nzuri katika mji wa Chake Chake, hii ni baada ya vijana wa CUF kuingilia barabarani wakidai wanashangilia ushindi wa mgombea wao wa Urais.

 FFU wameingilia kati, wakatoa maonyo wakiwataka wananchi watawanyike lakini wakakaidi, ndipo nguvu ya ziada ya mabomu ya machozi ilipotumika

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / OFISI ZA CUF ZANZBAR ZAZINGIRWA NA KIKOSI CHA USALAMA, NI BAADA YA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD KUJITANGAZIA USHINDI....

No comments :