Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MATOKEO NA VIDEO MECHI YA SHEFFIELD UNITED VS ARSENAL ARSENAL IKIANGUKIA PUA 3 - 0
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Usiku wa Jumatano ya October 27 kulikuwa hakuna mechi za Ligi Kuu Uingereza ila ilikuwa ni siku ambayo michezo ya ya Kombe la Capital One iliendelea nchini Uingereza kwa mechi kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali Uingereza, moja kati ya mchezo wa Kombe hilo uliyochezwa ni Sheffield Wednesday walicheza dhidi ya Arsenal.

Licha ya klabu ya Arsenal kuwa na mwenendo mzuri katika mechi za Ligi Kuu Uingereza msimu huu, haikufanikiwa kupata matokeo mazuri mbele ya Sheffield Wednesday, klabu ya Arsenal ilikubali kipigo cha goli 3-0, katika mchezo huo dhidi ya timu ya Sheffield Wednesday ambayo inashiriki Championship.
 Magoli ya Sheffield Wednesday yalifungwa na Ross Wallace dakika ya 28 ya mchezo kabla ya dakika ya 40 Lucas Joao kupachika goli la pili, goli ambalo lilidumu hadi kipindi cha kwanza kinamalizika, kipindi cha pili kilianza kwa Arsenal kutafuta goli za kusawazisha ila Sam Hutchinson akaongeza goli la tatu dakika ya 52, goli ambalo liliwakatisha tamaa Arsenal ya kupata matokeo mazuri.

Matokeo ya mechi nyingine za Capital One zilizochezwa usiku wa October 27
  • Everton 1 – 1 Norwich City (Mikwaju ya penati Everton 4 – 3 Norwich City)
  • Hull City 1 – 1 Leicester City (Mikwaju ya penati Hull City 5 – 4 Leicester City)
  • Stoke City 1 – 1 Chelsea (Mikwaju ya penati Stoke City 5 – 4 Chelsea)
     
    TAZAMA VIDEO YA MAGOLI KWA HAPA
    >**************************************>

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MATOKEO NA VIDEO MECHI YA SHEFFIELD UNITED VS ARSENAL ARSENAL IKIANGUKIA PUA 3 - 0

No comments :