Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » HII HAPA HISTORIA YA MWIGIZAJI MKONGWE WA BOLLYWOOD MAREHEMU AMRISH PURI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

"AmrishPuri"
"

Amrish Lal Puri alizaliwa June 22. 1932  na kufariki mnamo  January 12. 2005.
 
Alikuwa ni actor wa india ambaye alikuwa ni muhimu sana katika sanaa ya nchi hiyo hasa upande wa filamu .

Alifanya kazi na wataalamu wa uandishi wa filamu kwama vile Satyadev Dubey na Girish Karnad

Anakumbukwa sana katika mchango wake kwenye mambo hayo ya filamu za kihindi pamoja na zile za kimataifa .

Ndani ya mashabiki wa nchini india anakumbukwa zaidi katika filamu ya Mogambo pia filamu ya Mr. India (1987), pia katika nchi za magharibi Mzee huyu alijulikana kama  Mola Ram akicheza ile filamu ya Hollywood ya  Steven Spielberg pia  Indiana Jones and the Temple of Doom (1984).

Amrish Puri alizaliwa eneo moja linajulikana kama Lahore  huko British India katika familia ya watu wa jamii ya Punjabi-kwa wazazi  Lala Nihal Singh Puri na Mst Ved Kaur. 

 aliwaacha watoto wawili wa kiume na wa kike, ambapo wakiume anaitwa Rajiv na wa kike ni  Namrata huku mkewe akijulikana kama Urmila Diveker aliyemuoa mwaka 1957 hadi 2005 alipoaga dunia.

 Alikuwa na ndugu wane kaka zake wakubwa ni Chaman Puri na Madan Puri ambao wote walikuja kuwa waigizaji huku dada yake anajulikana kwa jina la Chandrakanta, na mdogo wake wa kiume anaitwa Harish Puri. 

Baadae alihamia Shimla na kupata elimu yake ya chuo huko Himachal Pradesh kaskazini mwa india.

Katika masuala ya uigizaji Amrish Puri ameigiza zaidi ya filamu 400 kati ya mwaka 1967 na 2005,na pia alikuwa ni mmoja kati ya waigizaji wakubwa na wa kihistoria huko bollywood.

 Alianza kwenda yeye jijini Mumbai na baadae akafuatiwa na kaka yake aitwaye Madan Puri na Chaman Puri,wakati huo tayari Amrish puri alikuwa ameshatengeneza jina zuri katika masuala ya uigizaji. 

Alifeli katika kazi yake ya kwanza ya uigizaji lna kuamua kufanya kazi nyingine akiajiliwa katika shirika la bima la taifa huko huko india la State Insurance Corporation (ESIC). 

Wakati huo huo pia aliutumia katika mazoezi ya uigizaji kwenye kampuni ya Prithvi Theatre akizifanyia kazi riwaya za  Satyadev Dubey

Alikuja kujulikana zaidi katika shindano la vipaji lijulikanalo kama stage actor na alifanikiwa kushinda tuzo ya Sangeet Natak Akademi mwaka 1979.

Baadae Puri kufanya kazi katika films za kihindi, kikannada, Marathi, Hollywood, Punjabi, Malayalam, Telugu na Tamil

Licha ya kuwa amrish puri alipata mafanikio katika maeneo mbalimbali kwenye kazi yake ya uigizaji zaidi anajulikana kwa kazi yake ndani ya cinema za bollywood.

Miaka ya 70, Puri alijikita zaidi kuigiza kama kiongozi mkuu kwa upande wa waalifu.

Pia mwaka 1980 alitajwa kama msanii aliyefanya vizuri katika movie ya Hum Paanch ambapo mkongwe huyo ambaye kwa sasa ni marehemu alikuwa kama mkuu wa majambazi na baada ya hapo alianza kuigiza katika nafasi hiyo.

Mnamo mwaka 1982, Puri alicheza nafasi ya jambazi mkuu katika filamu ya Vidhaata iliyoongozwa na Subhash Ghai. 

Mwaka huo huo alicheza filamu nyingine kama jambazi JK katika filamu ya Shakti akiwa na mastar kama - Dilip Kumar naAmitabh Bachchan. 

Mwaka uliofuata yaani 1983, Subhash Ghai kwa mara nyingine alitengeneza filamu iliyomhusisha puri kama jambazi huku msanii Pasha akiwa ni starring katika filamu ya Hero

Katika nafasi ya adui namba moja katika nafasi za uigizaji filamu india, amrish puri anakumbukwa zaidi katika filamu ya “MOGAMBO” katika Mr India, “Jagavar” katika filamu ya Vidhaata, "Thakral" katika filamu ya  Meri Jung, "Bhujang" ndani ya filamu ya Tridev, "Balwant Rai" kwenye filamu ya Ghayal, Barrister Chadda ndani ya Damini pamoja na "Thakur Durjan Singh" kwenye Karan Arjun.

Tangu mwaka 1990  hadi anakutwa na umauti mwaka 2005, Puri pia alishiriki katika uigizaji wa nafasi ya starring wa filamu pia alishirikishwa katika filamu nyingine nyingi kama msanii mwema na sio jambazi.

Alipokea pia tuzo kama msanii bora wa kushirikishwa kupitia filamu za Meri Jung na Virasat.

Kifo chake

Puri alikumbwa na mauti mnamo January 12 mwaka 2005 huko Mahasashtra Jijini Mumbai akiwa na miaka 72.

Alipokea zawadi nyingi wakati wa uhai wake kutokana na mchhango wake wa sanaa za bollywood na dunia kwa ujumla, na hizi ni aadhi kati ya alizopokea:>

Pia alitajwa katika kuwania tuzo zipatazo saba ambapo hata hivyo hakufanikiwa kutwaa tuzo hizo…. Ambapo tuzo hizo ni pamoja na:>>>>

Kama nilivyokujuza kuwa Amrish Puri amecheza filamu zaidi ya 400 tangu mwaka 1967 – 2005, hizi hapa ndizo alizocheza .

Year
Film
Role
1970
Henchman in church
1971

Rehmat Khan
Public Prosecutor
1973
Chandra Gowda

1975
Master
Eldest Zamindar
1976
Mishraji
1977
voice(uncredited)...Michael
Jabbar
Dharam Dhayal
Vinayak Kale
1978
Konduraswamy
1979
Chandrika's dad

Man in Ghost train reading horror story
General Manager

1980
Patthar Se Takkar

Maan Abhiman
Madhuraprasad Chowdhary
Kishan Chand
Joginder Singh
Dusane, Public Prosecutor
Rakka
Tantric magician
Balwant Singh
Veer Pratap Singh
1981
Madhavan
Don
1982
Chief Instructor Varghese
Jagavar Chowdhary
Gopal

Ranvir
Agnihotri (a.k.a. Johinder Singh)
Mr.Joshi
Khan

Main Inteqaam Loonga
Goverdhan Das (GD)
1983
Darvish
Pasha

Anant's Father
Mr.Ram Gupta
John D'Costa

1984
Swami Kashinath Singh
Professor Jai
Dhulia
Doctor
Lakhan
Balwant Singh Kalra
Moolchand
S.K.Vardhan
Mola Ram
Special Appearance
Kolga
Udaybhan
1985

Thakur Vijay Singh
Phaansi Ke Baad
Damodar Seth
Patthar Dil
Rana Surajbhan Singh
Jugal
Sher Khan
Choudhary
Karmayudh
Sohanlal Puri
Aaj Ke Sholay
Balbir Gupta
Chakradev
G.D. Thakral
1986
Ricky

Pyar Ho Gaya

Baba Bhaironath

Persha
Razoulli Al-Jabber Al-Nasser
Rana Vikram Singh
Raiszada Narsingh
Durjan Singh
1987
Tamas (mini TV series)

Sher Shivaji

Jawab Hum Denge
Dhanraj
Captain S.P.Singh
A.M.Singh
Bhanupratap
Sher 'Shera' Singh
Pyar Karke Dekho

Madadgar

Mogambo
Seth Dharam Das
Dharamdas, MP
Pharam Dharam
Shamshera
1988
Dacoit Porkhiya
Diwan
Shahbaaz Khan
Ajit Singh
Hamara Khandaan
Chandraprakash Singh (Vishal's dad)
Ganga Jamuna Saraswathi
Thakur Hansaj Singh
Anantananda Swamy (Telugu Movie)
Hun Farishte Nahin
Pashrutam Das/Din Dayal
J.K.Verma
Waris
Dulla
Marcelloni

Inspector Ratan Singh
1989

Gangadhar Chowdhary
Bhisambar Nath
General Dong
Ranvir Pushp
Nigahen : Nagina Part II
Bhairon Nath – voice (uncredited)
Chandidas Khurana
Khan
K.K

Jai Kishan (JK)
Nagar
Gopal Das
Bhujang/Bhairav Singh
Naa-Insaafi

Hanumant Singh
Mahaprabhu Janak Sagar Jagat Narayan Chintamani
Zakha
1990
Jarahwar
Vikral Singh
Lala Gendamal
Thakur Sher Bahadur Singh

Balwant Rai
Khaadra /SP (Telugu Movie)
Mahadrashta(Telugu Movie)
Mangal Singh/Santhal
Thakur Bhupendra Singh
Raghuvir Singh-Hindi
Upkar Dudhache
Raghuvir Singh-Marathi Film
1991
Shikari : The Hunter
Nahar Singh
Singhania
Rana

Mahadrashta
Dhurjan Singh
Iraada

Jaikal
Vazir-e-Ala (a.k.a. Vazir)
Chuniya
Antique Collector (Telugu Movie)
Jagira
Nageshwar "Don"
Kalivardhan
1992
Vansha

Time Machine (Incomplete film)

Azghar Jurhad
Bhalla
Dhirend (Ravi's uncle)
Gopichand Verma (Former Justice)
1993
Mehesar Dalal
Raja's father
Kundan

Gnaneswara Rao (Telugu Movie)
Tau (Mafia Don)
Barrister Indrajit Chaddha (Scheming Lawyer)
Purushottam Sathe
1994
Tejaswini
Lala Khurana
Pramaatma

Maha Shaktishali

Ramakant Chaudhry
Hukam Singh
I.G.P Pathak
1995
Don Quixote
Thakur Ugranarayan Singh
Thakur Durjan Singh
Thakur Jaswant Singh
Shobraj
Thakur Ranvir Singh 'Daata Guru'
Vanraja
Police Inspector
Chaudhry Baldev Singh
ACP. Shivcharan
Ratan Seth
1996
Hemraj
Mirza Khan
Surya Dev Singh
Dara
Wing Commander Varghese
Thakur Gajendra Singh
Gajraj Choudhary (Underworld Don)
ACP Amritlal Bakshi
Shambu Nath
1997
Raja Thakur (Best Supporting Actor- Filmfare award)
Kishorilal
Nimayak

Malhotra, Seema's father (special appearance)
Dhaal: The Battle of Law Against Law
Pilot Baba
Raja Saab
Seth. Kedar Nath
Appa Rao
1998
Sham Ghansham
Collector Bhim Singh
Jaspal Rana
Jojo Pinto
Voice on the phone with Tiger
Col. Kewal Krishan Puri
Durgaprasad Bhardwaj
Mr.Singhal
Abhayankar (Police officer)
1999
Kaalkeshwar Singh
Thakur Dhayal Singh
Dayashankar
Balraj Dutt

Jagmohan Mehta
Suraj Singh Thappar
C.K Oberoi
Nahar Singh (Ishaan's father)
2000
The Sufi Saint
ACP Ranjeet Singh
Yagvender Gareval
2001
General Khanna (special appearance)
On Wings of Fire
Nihavand ruler
Suleiman Seth
Pandit Shiv Prasad (Censor board member)
Kailashnath Malhotra
Balram Singh (Tau of Karan)
Mayor Ashraf Ali (Sakina's father)
Jagdish Kumar Malhotra (Ronit's uncle)
Chief Minister Balraj Chauhan
2002
Mr. Chaddha
Prajapati
Tantrik
Sadhu (sage)
Yashpal Chaudhary
2003
Thakur
Vir Bhadra Singh
I.S.I Chief Ishak Khan
Major Amrish Kaul
Jatta Singh Bedi (Jaswinder's father)
Brigadier Sarfaroz Khan
2004
Ustad Samad Khan
Mr. Pandey
Chief Minister Bhandarker
Brigadier Gautam Puri (Sp. App.)
commissioner of police Samar Singh
Colonel Dugraj Singh
Kartar Singh/Baa Ji
Mr.Ranjit Roy
Angar Chand
2005
Narrator
Bhairo Singh
2006
Hasan Kairanvi

>>>baada ya kupitia historia yake ni muda mwafaka sasa wa kutazama moja ya filamu aliyowahi kucheza inaitwa – “Jaal The Trap ndani pia yumo  Sunny Deol na Neha Pandit".

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / HII HAPA HISTORIA YA MWIGIZAJI MKONGWE WA BOLLYWOOD MAREHEMU AMRISH PURI

No comments :