Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » LEO ENGLAND ITAKUWA HATARI KWA LONDON DABI,NANA KUMSOGELEA LEICESTER?
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Hii ni Dabi ya London ya Kaskazini ya kipekee kwani safari hii inazikutanisha Timu ambazo zinachuana katika mbio za Ubingwa wa Ligi Kuu England zikiwa Nafasi za Pili na za Tatu nyuma ya Vinara Leicester City huko zote zikiwania Ubingwa kwa mara ya kwanza baada ya Miaka mingi.

Leicester wanaongoza Ligi wakiwa Pointi 3 mbele ya Timu ya Pili Spurs, waliotwaa Ubingwa mara ya mwisho Mwaka1961, na wa 3 ni Arsenal ambao mara ya mwisho kuwa Mabingwa ni 2004.

Hapa katikati wamepiga Dabi nyingi kati yao lakini hakuna hata moja iliyokuwa na nafasi kwa Mahasimu hao wa kuweza kutwaa Ubingwa kama hii.

Wachezaji wa timu na hali zao
 
Kipa wa Arsenal Petr Cech ataikosa Dabi hii baada ya kuumia Juzi kwenye Mechi na Swansea na atabadiliwa na David Ospina.

Pia Arsenal itamkosa Sentahafu Laurent ambae ameumia Musuli za Mguuni.
Baada ya kuzikosa Mechi 2, Kiungo wa Tottenham Mousa Dembele amepona Nyonga na atarejea Uwanjani.

kauli za makocha

Meneja Tottenham - Mauricio Pochettino: "Tunatarajia Gemu ngumu na tunahita nguvu kushinda Mechi hii”

-Meneja Arsenal Arsene Wenger: - "Ni moja ya Dabi chache ambayo Ubingwa unagombewa. Ni kubwa, na muhimu mno”

baadhi ya mechi walizokutana

-Tottenham wamepoteza Mechi 1 tu kati ya 7 zilizopita wakiwa kwao White Hart Lane dhidi ya Arsenal Wakishinda 4 Sare 2

-Arsenal walishinda Mechi ya mwisho Uwanjani White Hart Lane Mwezi Septemba kwenye Kombe la Ligi, Capital One Cup.

VIKOSI VINATARAJIWA KUWA:

TOTTENHAM
Hugo Lloris ,Kyle Walker ,Danny Rose ,Toby Alderweireld ,Kevin Wimmer ,Ryan Mason ,Erik Lamela,
Eric Dier,Dele Alli,Christian Eriksen, Harry Kane

Arsenal: David Ospina Per Mertesacker Gabriel Paulista Nacho Monreal Hector Bellerin Mesut Oezil Aaron Ramsey Alexis Sanchez Danny Welbeck Francis Coquelin Olivier Giroud

REFA: Michael Oliver

MECHI NYINGINE ZA EPL LEO
 
18:00: Chelsea ? - ? Stoke City
 
18:00 :Everton ? - ? West Ham United
 
18:00: Manchester City ? - ? Aston Villa
 
18:00: Newcastle United ? - ? AFC Bournemouth
 
18:00: Southampton ? - ? Sunderland
 
18:00: Swansea City ? - ? Norwich City
 
20:30: Watford ? - ? Leicester City

MECHI ZA KESHO EPL

16:30 Crystal Palace v Liverpool

19:00 West Brom v Man United

MSIMAMO WA LIGI {EPL} HADI SASA {KABLA YA MECHI HIZO}
 
About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / LEO ENGLAND ITAKUWA HATARI KWA LONDON DABI,NANA KUMSOGELEA LEICESTER?

No comments :