Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MJAPANI AJINYONGA MKOANI TABORA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtu mmoja Raia wa Japan aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni ya Konoike inayoshughulika na mradi wa maji vijijini,amekutwa amejinyonga katika chumba cha kufanyia uchunguzi wa udongo,bila kuacha ujumbe wowote,jambo ambalo limeibua mshangao kwa wananchi wa Tabora na wafanyakazi wenzake.
 
Akidhibitisha tukio hilo,Kamanda wa Polisi mkoani Tabora Kamishina Msaidizi Hamis Suleiman,amemtaja marehemu kwa jina la Akihila Takahashi(49),akidai kuwa tukio hilo ni la kushangaza,na ni la kwanza mkoani Tabora mtaalamu na Raia wa Kigeni kujinyonga,huku akisema kuwa uchunguzi wa kina unafanyika.
 
Wakiongea na ITV kwa masikitiko eneo la tukio ambapo Mjapan huyo alijinyonga kwa kutumia kamba,baadhi ya wafanyakazi wenzake walioshuhudia mwili wa marehemu ukiwa umening’inia wamesema kuwa,jana yake walikuwa naye kazini kama kawaida.

Credit: ITV

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MJAPANI AJINYONGA MKOANI TABORA

No comments :