Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA SHAABANI, NA HAYA NDIYO YA MURO KWA WAMCHANGANI WAKE...NOUMA SAAANA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

"Tumeyapokea kama yalivyo kuja, nionyeshe masikitiko yangu makubwa kwa watu ambao wanashikia kidedea mambo yasiyo wahusu. . Unajua sisi hatukuomba tuwe wa kimataifa kama tulivyo au hatukuomba mechi zetu tuwe tunashinda ili tuwaletee karaha wenzetu

"Inasikitisha kuona mtu kutoka kusikojulikana anaingilia kazi ya kuwa msemaji wa Yanga, anawashwa washwa nini???Yanga hatuhitaji kukuna watu sisi tunakuna mpira tu. . 

"Mtu analalamika lalamika eti Yanga wana viporo vitatu, haya ni maswala ya Yanga waachiwe Yanga hii ni timu ya kimataifa wewe timu yako ya Matopeni unawashwa washwa nini. . Watu wanasema mbona Barcelona wanacheza ligi jumapili kisha klabu bingwa ulaya jumanne?huwezi fananisha miundo mbinu ya Ulaya na huku. Huwezi.

"Sisi hatuna shida kucheza viporo vyote ila kinachokera kwanini tucheze kwa shinikizo la mtu ambaye ana kiherehere kwenda kwa waziri, tunataka tujue sisi tunao wakilisha nchi je tunasaidiwaje?kuna kipindi ligi ilisimama kupisha michezo ya timu ya Taifa basi wasimamishe ligi ili sisi wa kimataifa tupate maandalizi mazuri kuwakabili Al Ahly.

"Na kama wanadhani watatwaa ubingwa hilo wasahau wao wana nyota ya punda hawaendi bila mijiredi au nyota ya paka kupendwa na wachawi. . Ni lini nyumba ya udongo ikapigwa deki au baiskeli ya barafu ikaanikwa juani?swala la ubingwa wasahau watabaki kuwa wamatopeni, ni kama mgambo tu wanatulindia, muda ukifika tunawatoa pale kisha tunawaambia ahsante kwa kutulindia,"

Maneno ya Jerry Murro akirusha jiwe upande wa pili baada ya shinikizo kuwa Yanga wacheze wamalize viporo vyao vyote pasipo kujali ushiriki wao katika michezo ya kimataifa

●March 31 , 2016.
>>> Yanga SC Vs Ndanda SC (FA CUP/U-Taifa)
●April 3 , 2016.
>>> Yanga SC Vs Kagera Sugar(Ligi Kuu/U-Taifa)
●April 6 , 2016.
>>> Yanga SC Vs Mtibwa SC (Ligi Kuu/U-Taifa)
●April 9 , 2016.
>>> Yanga SC Vs Al Ahly (Klabu bingwa Afrika / U-Taifa)
●April 19 , 2016.
>>> Al Ahly Vs Yanga SC (Klabu bingwa Afrika / Cairo Stadium)
●April 30 , 2016.
>>> Toto Afrika Vs Yanga SC ( Ligi Kuu / CCM Kirumba)
Ni jumla ya michezo 6 ndani ya siku 30, kuna mashindano ya klabu bingwa, Ligi Kuu na Kombe la shirikisho nchini

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA SHAABANI, NA HAYA NDIYO YA MURO KWA WAMCHANGANI WAKE...NOUMA SAAANA

No comments :