Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » ZA HIVI PUNDE KUTOKA BRUSSELS
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Ni hivi majuzi tu kakamatwa mtuhumiwa wa ugaidi katika tukio la ufaransa huko ubelgiji na kufunguliwa mashtaka ambapo Mwendesha mashtaka mmoja nchini Ufaransa akasema mshukiwa mkuu wa mashambulio ya Paris mwaka jana Salah Abdeslam amekiri kwamba alitaka kujilipua, lakini akabadilisha nia yake. muda huu kuna tukio jingine limetokea huko ubelgiji ni mlipuko na hii ndio ripoti iliyopo hivi sasa>>>>>>>>
Milipuko miwili imetokea katika uwanja wa ndege wa Zaventem mjini Brussels.
Moshi umeonekana ukitanda angani kutoka kwa moja ya majengo katika uwanja huo.
Serikali ya Ubelgiji imethibitisha kwamba kunao watu waliojeruhiwa lakini haijasema idadi.
Watu wameondolewa kutoka kwenye uwanja huo na safari za ndege kutua au kupaa kutoka uwanja huo kukatizwa.
Vyombo vya habari nchini humo vinaripoti kwamba kuna watu wamejeruhiwa katika ukumbi wa kuhudumia watu wa safari za kuondoka nchini na kwamba milipuko ilitokea karibu na meza ya shirika la ndege la American Airlines.
Haijabainika ni nini chanzo cha milipuko hiyo.
Milipuko pia imeripotiwa katika kituo cha treni cha Maelbeek karibu na majengo taasisi za Umoja wa Ulaya. Mfumo wa uchukuzi wa treni mjini Brussels umefungwa.

Milipuko hiyo imetokea siku nne tu baada ya kukamatwa kwa mshukiwa mkuu wa mashambulio ya Paris ya mwaka jana ambayo yalisababisha vifo vya watu 130.

Abdeslam alikamatwa Ijumaa katika mtaa mmoja wa Brussels.

Uwanja wa ndege wa Zaventem unapatikana kilomita 11 kaskazini mashariki mwa Brussels na ulihudumia abiria zaidi ya 23 milioni mwaka jana.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / ZA HIVI PUNDE KUTOKA BRUSSELS

No comments :