Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » CHUO KIKUU CH ANAIROBI CHAZIDI KUWATIMUA WANAFUNZI WAKE
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Chuo Kikuu cha Nairobi kimewafukuza wanafunzi 139 zaidi kwa kushiriki mgomo uliosababisha uharibifu mkubwa wa mali. Wanafunzi hao walitakiwa kuchukua barua za kufukuzwa kutoka kwa msajili wa wanafunzi ifikapo Ijumaa ya wiki hii.

Naibu Chansela wa Chuo hicho Profesa Peter Mbithi amesema hii ni moja wapo ya hatua za kinidhamu dhidi ya wanafunzi walioongoza mgomo huo. Kwa sasa Chuo hicho kimefungwa. Jumanne wiki hii wanafunzi 62 walifukuzwa akiwemo Mike Jacobs mgombea wa wadhifa wa Mwenyekiti wa chama cha wanafunzi{SONU}.
Jacobs alikua mpinzani wa mwenyekiti wa sasa Babu Owino. Polisi wanaendelea na uchunguzi zaidi baada ya kupata silaha ikiwemo visu vilivyokua na damu hali inayozua hofu ya kuwepo magenge ya uhalifu ndani ya Chuo hicho.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / CHUO KIKUU CH ANAIROBI CHAZIDI KUWATIMUA WANAFUNZI WAKE

No comments :