Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » TALIBAN KUMEKUCHA YATANGAZA MSIMU MPYA WA MASHAMBULIZI, WAIPA JINA LA HESHIMA OPARESHENI HIYO
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kundi la Taliban nchini Afghanistan limetangaza kuanza kwa msimu wao wa mashambulizi.
Wanamgambo hao walisema kwenye taarifa kuwa, wataendesha mashambulizi makubwa kote nchini Afghanistan.
Taliban wameyapa jina mashambulizi hayo kuwa "Operation Omari" kwa heshima ya mwaanzilishi Mullah Muhammad Omar ambaye kifo chake kilithibitishwa mwaka uliopita.
Serikali ya Afghanistan inajaribu kulileta kundi hilo kwenye meza ya mazungumzo ili kumaliza mzozo kati yao.
Wakati ya ziara yake nchini Afghanistan, waziri wa mashauri ya nchi za kigeni nchini Marekani John Kerry, aliwataka Taliban kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na serikali.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / TALIBAN KUMEKUCHA YATANGAZA MSIMU MPYA WA MASHAMBULIZI, WAIPA JINA LA HESHIMA OPARESHENI HIYO

No comments :