Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » HONGERENI NGORONGORO CLASS : MMEIBUKA MMEIBUKA MABINGWA WA UTANGAZAJI NDANI YA AJTC, CHANGAMOTO IPO MITAANI ONGEZENI JUHUDI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Na Baraka lang

Hatimaye   darasa la Ngorongoro limeibuka kidedea katika mashindano  ya utangazaji 
katika chuo cha uandishi habari na utangazaji Arusha mashindano yaliyochukua 
takribani siku tano.

Darasa hilo baada ya kuingia fainali hiyo jana kati ya madasa 13ambapo leo hii limejishindia  kombe pamoja na pesa tasiilimu shilling laki moja na nusu huku likifatiwa na darsa la Kilimanjaro nafsi ya pili wakijishindia laki moja  darasa la serengeti limeshikili nafsi ya tatu na kupewa zawadi shilling elf sabini huku baadhi ya wanafunzi walio .

Hata hivyo mkuu wa chuo hicho bw Joseph Mayagila amewapongeza wanafunzi 
wote walioshiriki na kuwataka wasibweteke bali waendelee kujituma ili wafanye vizuri 

katika mashindano mengine yatakayojitokeza.

Kwa upande wake mkuu wa wa kitengo hicho Bw Onesmo Elia Mbise  amesma mashindano hayo yamendeshwa kwa haki na usawa na majaji wamefuata kanuni zote za uhakiki wa vipindi lakini akiwataka wanafunzi wote kuongeza juhudi na kuiga vile vyote vizuri walivyoviona katika vipindi mbali mbali.

Mashindano hayo ambayo ni ya  tisa kufanyika chuoni yamekamilika hii leo
 huku wanafunzi wakionyesha mwitikio na ushindani mkubwa tofauti na miika mingine

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / HONGERENI NGORONGORO CLASS : MMEIBUKA MMEIBUKA MABINGWA WA UTANGAZAJI NDANI YA AJTC, CHANGAMOTO IPO MITAANI ONGEZENI JUHUDI

No comments :