Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » AKAMATWA KWA KUPANDA MNARA WA MAKAO MAKUU YA TRUMP MAREKANI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mtu mmoja aliyejaribu kupanda mnara wa Trump uliopo jijini New York, ameondolewa na polisi katika jengo hilo baada ya kuchomwa na vioo vya jengo hilo lenye ghorofa hamsini na nane ambayo ni makao makuu ya kampeni za kumchagua Donald Trump.

Trump anaishi kwenye chumba cha juu ya ghorofa hilo lakini kwa sasa anafanya kampeni zake nje ya mji.
Mpandaji alijivuta huku akiwa akionekana kuwa amelewa, akitaka kuingia ndani ya jengo hilo.

Polisi waliofika eneo la tukio wamesema hawakuweza kutambua nini haswa lilikuwa lengo lake.

via bbcswahili.com

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / AKAMATWA KWA KUPANDA MNARA WA MAKAO MAKUU YA TRUMP MAREKANI

No comments :