Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WIMBO ULIOMPELEKA NEY NYUMA YA NONDO ZA MUZIKI KUTOLEWA VIDEO, MWENYEWE AKILI KUTIMIZA VIGEZO VYA BASATA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Rapper Nay wa Mitego amedai ametimiza matakwa aliyopewa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) baada ya kufungiwa kwa wimbo wake wa ‘Pale Kati’, ambapo Jumatano hii taachia version ya kwanza ya video ya wimbo huo.

Nay amewataka mashabiki wake wa muziki wa kimataifa kukaa mkao wa kula.

“Mimi na BASATA tulishamalizana, wao walinipa maazimio na mimi nimeshayatekeleza, kwa hiyo na mimi naendelea na issue zingine,”alisema Nay.  

“Jumatano hii mashabiki wangu Wakimataifa pamoja na wa kwenye mitandao ya kijamii wakae mkao wa kula, naachia video,”

Rapper huyo alisema wimbo wa ‘Pale Kati’ una nguvu kubwa sana na unafanya vizuri katika baadhi ya nchi kama Kenya, Uganda pamoja na Ghana, na ndio maana ameamua kuanza kutoa video kwa ajili ya kimataifa kwanza.

Pia amewataka mashabiki wa muziki wake kuendelea kusubiria mambo mazuri kwani wimbo huo una video nne.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WIMBO ULIOMPELEKA NEY NYUMA YA NONDO ZA MUZIKI KUTOLEWA VIDEO, MWENYEWE AKILI KUTIMIZA VIGEZO VYA BASATA

No comments :