Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » BACKENBAUER KIKAANGONI ACHUNGUZWA KWA KOMBE LA DUNIA LA 2006
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Viongozi wa mashtaka nchini Uswizi wameanzisha uchunguzi wa uhalifu kuhusu mchezaji wa zamani nchini Ujerumani Franz Backenbauer na wengine watatu kuhusu ombi la Ujerumani la kombe la dunia la mwaka 2006.

Kama wanachama wa kamati andalizi ya kombe hilo wanatuhumiwa kufanya udanganyifu ,ulanguzi wa fedha na utumiaji mbaya wa fedha.

Baadhi ya uhalifu huo ulitekelezwa katika taifa la Uswizi.

Bwana Backenbauer ambaye aliongoza ombi hilo amekana kuhusika na ufisadi.

Mnamo mwezi Oktoba,alisema kuwa alifanya makosa katika shughuli yote ya ombi hilo mwaka 2000,lakini akakana kwamba kura zilinunuliwa.

Mnamo mwezi Machi,Shirikisho la soka duniani Fifa lilianza kuwachunguza watu sita kwa jukumu lao katika ushindi wa kuandaa haki za kombe hilo la dunia mwaka 2006.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / BACKENBAUER KIKAANGONI ACHUNGUZWA KWA KOMBE LA DUNIA LA 2006

No comments :