Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » LUTEN MSTAAFU CHIKU GALAWA ABUNI MBINU MPYA YA USAFI MKOANI SONGWE
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Na Ezekiel Kamanga,Songwe
MKUU wa mkoa wa Songwe Luten mtaafu Chiku Gallawa,kwa kushirikiana na kamati yake ya ulinzi na usalama mkoani humo,amebuni mbinu mpya ya kuhakikisha mkoa huo unakuwa kati ahali ya usafi kwa kuanza kufanya usafi wa mazingira kwa kila halmashauri kwa kushirikisha viongozi wa wilaya zote ambapo zoezi hilo litakuwa endelevu kila mwisho wa mwezi.
Hatua hiyo ya serikali kubuni mbinu mpya imekuja baada ya serikali kuweka utaratibu wa kufanya usafi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi kwa kusafisa maeneo ya kaya zao na sehemu za biashra lakini serikali mkoani Songwe imebuni mbinu mpya ya kusafisa mazingira kila halmashauri kwa kushirikisha wakuu wa idara,wakurugenzi na wakuu wa wilaya pamoja na kamati zao za ulinzi na usalama za wilaya zote ambapo hufanya kazi katika halmahsuri moja.
Mwezi huu mwishoni mwa wiki,viongozi hao kutoka kila halmashauri wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa walikuwa kwenye halmashauri ya mji wa Tunduma ambapo walifanya usafi kwa kushirikiana pamoja na madiwani na wananchi maeneo yote ambapo mwezi ujao watafanya usafi kama huo katika halmashauri ya wilaya ya Mbozi na kulifanya zoezi hilo kuwa endelevu kwa kila mwezi kusafisha halmahsuri moja

Akizungumza mwishoni mwa wiki na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa usafi huo,Gallawa,alisema licha ya kutii agizo la Rais John Pombe Magufuri,la kufanya usafi kila juma mosi ya mwisho wa mwezi,lakina aliona atumie mbinu mbadala itakayorahisisha shughuri hizo kufanyika kwa weredi zaidi kwa kushirikiana .
Alisema katika mpango huo,wa kufanya usafi kwa kushirikiana aliona aanze na halmashauri ya mji wa Tunduma kwa kuwa ndiyo unaozarisha kwa kasi taka ngumu kutokana na kuwa na idadi kubwa ya watu wanaofanya shughuri mbalimbali katika maeneo yote ambapo aliweza kutoa maelekezo kwa wakazi wa mji huo kuwa jukumu la kutunza taka ni lao ambapo wanatakiwa wazitoe nje pindi gari la taka linapopita.
Gallawa,alisema  baada ya kukamilisha usafi katika mji wa Tunduma pamoja na kuweka utaratibu wa watu kutunza taka majumbani mwao alisema zoezi hilo liwe endelevu kwa wakazi wa eneo hilo kuhakikisha wanatunza hali ya usafi ambapo viongozi wa halmahsuri wanatakiwa kutembelea maeneo yote kujionea hali ya usafi na kuwachukulia hatua za kisheria watakao kaidi agizo au utaratibu huo.
Alisema mwezi ujao watafanya shughuri kama hizo kwenye halmashauri ya wilaya ya Mbozi na ambapo wakiwa huko wakikamilisha usafi watapanga mwezi unaofuata waende halmahsuri gani na kuwa lengo ni kuhakikisha mkoa wa Songwe unakuwa ni wa mfano kwa usafi na kuwa baada ya hapo utawekwa utaratibu wa kila sekta kuwa na maeneo maalum ya kufanyia kazi.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya nji wa Tunduma,Herode Jivava,alipongeza mpango huo na kusema kuwa watasimamia kwa ufasaha mpango huo licha ya kuwepo na changamoto ya uhaba wa magari ya kuzolea taka ambapo alisema kwa mwaka 2017- 2018 katika bajeti ijayo halmashauri hiyo itakuwa imenunua magari ya kubebea taka ambapo alisema watakuwa na uhakiki mji wa Tunduma utaendeleo kuwa msafi.
Mkuu wa wilaya ya Momba Juma Ilando,alisema mpango wa serikali ni mzuri hasa walipoanza kusafisa katika mji wa Tunduma ambao upo kwenye wilaya yake na kuahidi kuendeleza ushirikiano huo katika kazi hiyo kwa halmahsuri zingine na kuwa Tunduma kitaifa ilishika nafasi ya tatu kwa usafi na kupewa tuzo ambapo mwaka ujao alisema anataka iwe ya kwanza na kuzipiku halmahsuri za Moshi na Katavi zilizoibuka kidedea kwa usafi mwaka 2016.
Wananchi wa upande wao wamepongeza hatua hiyo na kusema kuwa watatoa ushirikiano wa kutosha kuhakikisha mazingira yote yanakuwa katika hali ya usafi ambapo walitumia nafasi hiyo kuiomba serikali ipeleke magari ya kubeba taka utokana na halmashuri hiyo kuzarisha taka nyingi ambazo wengi wao wamekuwa wakitupa pembezoni mwa barabara ombi ambalo lilipokelewa na serikali.

Mwisho

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / LUTEN MSTAAFU CHIKU GALAWA ABUNI MBINU MPYA YA USAFI MKOANI SONGWE

No comments :