Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MAGONJWA JE! SASA HII MBONA INGEKUWA BONGO WANGEKOMA!
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Najua kama ingekuwa ni Bongo basi kungekuwa na maombi usiku na mchana lakini wengine wangesikika wakisema mbona fresh tu prezidaa?

lakini Wanaume wa huko nchini Elitrea wamepewa amri ya kuoa angalau wake wawili au zaidi kwa kila mwanaume huku adhabu ya kifungo cha maisha jela kutolewa kwa atakaekaidi amri hiyo ya serikali.
Kwa mujibu wa serikali agizo hilo limetolewa kufuatia uwepo wa idadi ndogo ya wanaume ikilinganishwa na idadi ya wanawake ikiwa ni matokeo ya vita kati ya taifa hilo na Ethiopia.
Serikali nchini humo imewathibitishia raia wake kuwa itagharamia sherehe za harusi na nyumba kwa wanandoa
Kwa mujibu wa tovuti ya Afkinsider.com  iliyochapisha taarifa hiyo, Onyo limetolewa kwa mwanamke au mwanaume atakaekaidi agizo hilo atahukumiwa kifungo cha maisha jela na kazi ngumu.
Zaidi ya wanajeshi 150,000 wa Eritrea waliuawa kwenye vita huko Ethiopia kati ya mwaka 1998 hadi 2000

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MAGONJWA JE! SASA HII MBONA INGEKUWA BONGO WANGEKOMA!

No comments :