Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MAJINA 10 MAARUFU EPL YALIYOTAJWA NA MTANDAO WA SPORTDIRECT.COM HAYA HAPA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Bado siku mbili mwaka 2016 umalizike tuingie mwaka 2017 kuna mambo mengi ya kukumbuka kwa mwaka 2016, moja kati ya hayo ni hii list ya majina maarufu katika jezi ya wachezaji wa Ligi Kuu England kwa mwaka 2016.
Mtandao wa Sportdirect.com umetaja majina ya wachezaji 10 ambao majina yao yamekuwa maarufu katika jezi kwa mwaka 2016, kwa maana nyingine jezi zenye majina yao ndio zimetawala mitaani kwa mwaka 2016.

Staa wa Man United aliyeweka rekodi ya usajili ya dunia Paul Pogba ndio kinara katika list hii, akifuatiwa na nyota mwenzake wa Man United Zlatan Ibrahimovic, jumla ya majina manne ya wachezaji wa Man United yameingia katika TOP 10 hii.
1- Paul Pogba (Man United)
2- Zlatan Ibrahimovic (Man United)
3- Alex Sanchez (Arsenal)
4- Mesut Ozil (Arsenal)
5- Phillipe Coutinho (Liverpool)
6- David de Gea (Man United)
7- Sadio Mane (Liverpool)
8- Dimitri Payet (West Ham United)
9- Eden Hazard (Chelsea)
10- Marcus Rashford (Man United)

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MAJINA 10 MAARUFU EPL YALIYOTAJWA NA MTANDAO WA SPORTDIRECT.COM HAYA HAPA

No comments :