Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » UPEPO WA INJINI YA NDEGE WAMUUA MWANAMKE NEW ZEALAND
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mwanamke moja raia wa New Zealand amefariki katika visiwa vya Caribbean baada upepo mkalia kutoka kwa injini ya ndege kumuangusha chini.
Kisa hicho kilitokea katika uwanja maarufu wa Princess Juliana ambao uko umbali wa mita chache kutoka baharini.
Watu wanaostarehe kwenye ufukwe wanaweza kutembea hadi kwa ua wa uwanja wa ndege kutazama ndege zikipaa.
Polisi wanasema kuwa mwanamke huyo wa umri wa miaka 57, alikuwa akishikilia ua wa uwanja wa ndege kabla ya upepo mkali kutoka kwa injni ya ndege kumrusha nyuma na kusababisha apate majeraha. mabaya.
  • Alipelekwa hospitalini kwa matibabu lakini akafariki baadaye.
Eneo hilo ni maarufu kwa watalii kwa sababu ndege hupita chini zaidi kabla ya kutua kwenye uwanja wa ndege ulio karibu.
Bara ya nde imeanzia umbali wa mita 50 tu kutoka kwa ua na katika umbali sawa na maji ya bahari.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / UPEPO WA INJINI YA NDEGE WAMUUA MWANAMKE NEW ZEALAND

No comments :