Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WAYNE ROONEY KUONEKANA LEO UWANJANI DAR
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Timu inayoshiriki ligi ya England , premier league ya Everton itateremka katika uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam leo jioni kupambana dhidi ya klabu ya Gor mahia ya Kenya katika mchezo wa kirafiki uliotayarisha na kampuni ya Sportpesa ya mjini Nairobi. 

Kivutio kikubwa katika mchezo huo utakaofanyika jioni ya leo ni mchezaji wa zamani wa klabu maarufu ya premier ligi ya England Manchester United na timu ya taifa Wayne Rooney ambaye amejiunga na klabu yake hiyo ya zamani kwa msimu ujao. 

Mchezo huo kati ya Gor mahia ya Kenya na Everton ya England ni kilele cha michuano iliyoshirikisha timu 6 kutoka Tanzania na Kenya , ambapo fainali ilikuwa kati ya Gor mahia na FC Leopards zote za Kenya na Gor kupata ushindi mjini Dar es Salaam mwanzoni mwa mwezi uliopita.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WAYNE ROONEY KUONEKANA LEO UWANJANI DAR

No comments :