Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WATU MILIONI 2 WAMEJITOKEZA KUOMBA KAZI NCHINI INDIA.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Takwimu zinaonesha China inashika nafasi ya kwanza kwa kuwa na Idadi kubwa ya watu Duniani ambapo ina jumla ya watu Bilioni 1.38, nafasi ya pili ni India ambayo ina jumla ya watu Bilioni 1.31, hao sio watu wachache mtu wangu kwa sababu ukiangalia Dunia nzima ina jumla ya watu Bilioni 7 !!

Tatizo la ukosefu wa ajira ni tatizo kubwa sana sasahivi kila sehemu Duniani, nchi ya India inaingia kwenye stori kubwa kwa leo… ishu ni kwamba Serikali ya India ilitangaza nafasi 368 za kazi kwa Walinzi pamoja na Wahudumu wa Chai Maofisini, lakini unaambiwa kwenye nafasi hizohizo 368 watu waliojitokeza kuomba nafasi walikuwa watu Milioni 2.3.
Maofisa wa Serikali wamesema kama kila mtu aliyetuma maombi ya kazi akiitwa kwenye Interview maana yake ni kwamba itachukua miaka minne mpaka kuwapata watu watakaoajiriwa kwenye nafasi hizo.
Wengi walioomba kazi wanasema walipoona tangazo ilibidi watume maombi kwa sababu hakuna ajira na maisha ni magumu.
Takwimu za Shirika la Umoja wa MataifaUN zinaonesha mpaka kufikia mwaka 2030India itaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu, ikifuatiwa na China na Marekani.
 India Thing

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WATU MILIONI 2 WAMEJITOKEZA KUOMBA KAZI NCHINI INDIA.

No comments :