Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » CCM YAFANYA UZINDUZI WA JENGO LA KISASA UPANGA, ABDULRAHMAN KINANA ALIZINDUA RASMI NI LENYE GHARAMA YA SHILINGI BIL.7
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Jengo la kisasa la Kitegauchumi la Chama Cha Mapinduzi (CCM), lilipo Upanga jijini Dar es Salaam, lililozinduliwa leo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Abdulrahman Kinana.

Kwa mujibu wa maelezo ya Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa Mali za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Anna Abdallah, ujenzi wa jengo umegharimu sh. Bilioni saba.

Mama Anna Abdallah, amesema, jengo hilo limejengwa kwa hali ya juu na limewekwa kila kitu ikiwemo zamani.

"Mpangaji anapotaka kuingia katika nyumba hii, yeye anachopaswa kufanya ni kuja na chakula na nguo tu, halazimiki kuingia na zamani ya yoyote hata TV anaikuta ipo sebuleni", Alisema, Mama Anna.

Credit: Manka John{ Fb}

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / CCM YAFANYA UZINDUZI WA JENGO LA KISASA UPANGA, ABDULRAHMAN KINANA ALIZINDUA RASMI NI LENYE GHARAMA YA SHILINGI BIL.7

No comments :