Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » HARUNA NIYONZIMA KAFUNGA NDOA KWAO UNALIFAHAMU HILO? UTHIBITISHO WA PICHA NI HUU HAPA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kiungo wa kimataifa wa Rwanda anayekipiga katika klabu ya Dar Es Salaam Young African Haruna Niyonzima October 15 amefunga ndoa na mzazi mwenzake. Haruna Niyonzima ambaye alifunga ndoa hiyo baada ya kurejea kutoka Rabat Morocco mji ambao walienda kucheza mechi na timu ya taifa ya nchi hiyo.

Niyonzima ni baba wa watoto wa tatu mmoja wa kiume na wawili ambao ni mapacha Atifa na Atika. Niyonzima na mkewe walifunga ndoa ya kiserikali Kigali Rwanda

Hata hivyo kufuatia kuchelewa kujiunga na kambi ya klabu yake ambayo Bagamoyo ya kujiandaa na mchezo wa kesho dhidi ya Azam FC, huenda Niyonzima akakosa mchezo huo.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / HARUNA NIYONZIMA KAFUNGA NDOA KWAO UNALIFAHAMU HILO? UTHIBITISHO WA PICHA NI HUU HAPA

No comments :