Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » PICHA....MAENDELEO YA MBEYA CITY KESHO DHIDI YA SIMBA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Boban na Kaseja
 Klabu ya Mbeya City ya jijini Mbeya ambayo  October 17 itaikaribisha Simba katika uwanja wa Sokoine Mbeya kucheza mechi yake ya sita ya Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2015/2016. Mbeya City ambayo inashika nafasi ya 13 baada ya kucheza mechi sita na kushinda moja na kutoka sare moja inashuka uwanjani kucheza ikiwa na huzuni.

Mbeya City kwa siku za hivi karibuni imeondokewa na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo Juma Mwambusi ambaye ameenda kuwa kocha msaidizi wa klabu ya Yanga na kurithi mikoba ya Charles Boniface Mkwasa aliyepata mkataba wa kuwa kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / PICHA....MAENDELEO YA MBEYA CITY KESHO DHIDI YA SIMBA

No comments :