Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » SAY LOVE...WIMBO WA JOJO UNAOMRUDISHA KATIKA BURUDANI BAADA YA MIAKA 9
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Hakuwepo kwenye gemu miaka 9 katika masuala ya burudani, msanii wa R&B nchini Marekani, JoJo amerudi kwa  kwa kuzindua video mpya inayokwenda kwa jina la   “When Love Hurts” ni mwezi uliyopita tu ndio JoJo aliporudi tena, na kwa sasa anakuja na video ya single yake mpya, inayopaa kwa jina la‘Say Love’.

wakati anazungumza na mtandao mmoja wa JoJo BuzzFeed alidai kuwa alitaka wimbo huo uwe katika miondoko ya slow jam kidogo kwa sababu hapo awali alitoka kuzindua mwingine ambao umechangamka si kidogo.

Kwa sasa JoJo bado hajakamilisha Album yake ya tatu, iliyopewa jina la The High Road itakayoachiwa chini ya Atlantic Records na hii itakuwa album yake ya kwanza toka mwaka 2006! lakini kwa sasa bado yupo studio.

mi nakuwekea hapa video yenyewe itazame kwa muda wako.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / SAY LOVE...WIMBO WA JOJO UNAOMRUDISHA KATIKA BURUDANI BAADA YA MIAKA 9

No comments :