Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » SHINYANGA MPOOOO? HII NDIO SABABU YA WAGOMBEA KUGOMEA MATOKEO NA KUTOKA VYUMBA VYA KUHESABIA KURA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Uchaguzi mkuu katika jimbo la Shinyanga mjini umeingia dosari baada ya wagombea wa ubunge wa upinzani Chadema na APPT Maendeleo kutoka katika ukumbi wa kuhesabu kura na kutangazia matokeo kwa madai kuwa uchaguzi huo ulikuwa umegubikwa na rushwa,vitisho na udanganyifu wa hapa na pale hali ambayo wamesema kwa vyovyote vile matokeo haya wezi kuwa halali..na sasa kinachoendelea ni kwaba kura zinahesabiwa upya kwa vituo vyote 275…
 Mgombea ubunge wa Ukawa/Chadema Patrobas Katambi ameondoka eneo la kutangazia matokeo na wafuasi wa Chadema.Askari polisi wapo wa kutosha mtaani na eneo la tukio

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / SHINYANGA MPOOOO? HII NDIO SABABU YA WAGOMBEA KUGOMEA MATOKEO NA KUTOKA VYUMBA VYA KUHESABIA KURA

No comments :