Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MANENO YA MWISHO YA FRANK MGOMBEA UBUNGE SEGEREA SIKU MOJA KABLA YA UCHAGUZI MKUU
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Headlines za uchaguzi bado zinazidi kuchukua nafasi kadri siku zinavyozidi kwenda hususani katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani. 

Ikiwa zimebakia saa kadhaa kabla ya kampeni za uchaguzi mkuu kufungwa jioni ya October 24. Msanii wa filamu na maigizo Mohamed Mwikongi ambaye wengi tumemzoea kwa jina la Frank kaongea haya.

Frank ambaye ni miongoni mwa watu maarufu waliojitokeza kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani ametoa kauli kadhaa kuhusiana na kuomba ridhaa ya wananchi wa jimbo la Segerea kumpa nafasi ya ubunge kupitia chama cha ACT Wazalendo. Katika exclusive interview na millardayo.com Frank alikuwa na haya ya kusema.

“Wananchi wa Segerea naomba wa niamini kama mcheza sinema za kitanzania waniamini kwa sababu ni kijana mwenye fikra pevu najiamini na nimethubutu, Kuna baadhi ya viongozi wanavujisha kabisa mapato hatimaye watu wanaishi maisha duni na wanakula mlo mmoja kwa siku. Nitakachokifanya kwa wananchi wangu wa Segerea nitawapa bure elimu ya ujasiriamali ili waweze kujikwamua kiuchumi”>>> Frank

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MANENO YA MWISHO YA FRANK MGOMBEA UBUNGE SEGEREA SIKU MOJA KABLA YA UCHAGUZI MKUU

No comments :