![]() |
Mgombea wa Urais kupitia chama cha CCM John Pombe Magufuli na mkeweamepiga kura katika mkoa wa Kagera huko Chato |
![]() |
Mgombea wa Urais wa chama cha UKAWA Edward Lowassa ameandamana na mkewe katika kituo cha Arusha na kupiga kura |
![]() |
kituo cha kupigia kura |
![]() |
foleni ya wapiga kura |
![]() |
Waangaliziwa kimataifa |
![]() |
Raia waonyeshwa madebe ya kupigia kura ili wajue kwamba uchaguzi huo unafanyika kwa njia ya uwazi |
![]() |
Masanduku yanayotumika kupigia kura Tanzania |
![]() |
mpiga kura akionesha kidole chenye wino ishara ya kuwa tayari ameshamaliza kupiga kura |
![]() |
mwananchi mtanzania akipiga kura |
![]() |
jinsi mitaa mbalimbali inavyoonekana kutokana na watu kuelekea katika vituo vya kura pamoja na wengine kubaki majumbani mwao |
![]() |
foleni ya wapiga kura |
![]() |
Wanahakiki majina kabla ya kupiga kura |
![]() |
Madereva waliokosa fursa ya kupiga kura |
![]() |
Wapiga kura waliolazimika kusafri hadi maeneo ya bara |
No comments
Post a Comment