Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » UEFA KUISHTAKI DYNAMO KIEV
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Timu ya Chelsea dhidi ya Dynamo KievShirikisho la Soka barani Ulaya Uefa, limefungua kesi ya kinidhamu dhidi ya klabu ya Dynamo Kiev kutokana na vurugu zilizofanywa na mashabiki wake na mambo ya kibaguzi katika mchezo wa Ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Chelsea. 

Katika taarifa yake Uefa imesema itaanza kusikiliza kesi hiyo Octoba 27 mwaka huu. Hiyo sio mara ya kwanza kwa mashabiki wa timu hiyo kuingia matatani kwani katika msimu uliopita Dynamo walitozwa faini ya kufungiwa upande mmoja wa uwanja kwa makosa mawili mojawapo likiwa vurugu na lingine ubaguzi katika mchezo wa michuano ya Europa League.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / UEFA KUISHTAKI DYNAMO KIEV

No comments :