Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MANCHESTER CITY WALIVYOLALA NYUMBANI MBELE YA MASHABIKI WAO VIDEO IKO HAPA.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

 Licha ya kuwa headlines za soka duniani kote ilikuwa ni mchezo wa El Clasico kati ya Real Madrid dhidi ya FC Barcelona katika uwanja wa Santiago Bernabeu, nchini Uingereza kulikuwa na mchezo mmoja uliyokuwa unavuta hisia za watu wapenzi wengi wa Ligi Kuu Uingereza.

 Uingereza ulipigwa mchezo kati ya Manchester City dhidi ya klabu ya Liverpool katika uwanja wa nyumbani wa Man City Etihad, mchezo kati ya Man City dhidi ya Liverpool ulimalizika kwa Liverpool kuibuka na ushindi wa jumla ya goli 4-1 na kuifanya Man City kushuka kileleni mwa Ligi Kuu Uingereza na kushika nafasi ya tatu nyuma ya Leceister City wanaoongoza Ligi kwa sasa kwa point 28 na Man United wakiwa nafasi ya pili kwa kuwa na point 27.

Liverpool walianza kupata goli la kwanza dakika ya 8 baada ya mchezaji wa Man City Eliaquim Mangala kujifunga, goli la pili la Liverpool lilifungwa na  Philippe Coutinho dakika ya 23 wakati goli la tatu lilifungwa na Roberto Firmino dakika ya 32 kabla ya Martin Skirtel kuhitimisha kwa kufunga goli la nne dakika ya 81 huku Man City wakiambulia goli moja la kufutia machozi lililofungwa na Sergio Aguero dakika ya 44.

Baada ya kusoma na kuelewa kilichowakuta matajiri wa jiji nyumbani kwao sasa tazama jinsi magoli yalivyozama>>>

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MANCHESTER CITY WALIVYOLALA NYUMBANI MBELE YA MASHABIKI WAO VIDEO IKO HAPA.

No comments :