Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MBUNGE WA KWANZA KUTEULIWA NA MAGUFULI NI HUYU HAPA,JE NI ISHARA NJEMA KWA FURSA ZA WANAWAKE?, NDUGAI NAE KUCHAGULIWA KUWA MGOMBEA USPIKA ATAPITA? NAIBU WAZIRI JE?!
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli amemteua Dk. Tulia Ackson Mwansasu kuwa mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kutengeua nafasi yake ya awali aliyokuwa akishikilia kama Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali.
Mh. Dk Tulia anakuwa Mbunge wa kwanza wa kuteuliwa na Rais, kumbuka pia Dk. Tulia ni mmoja kati ya watu watatu waliopitishwa na CCM kuwania nafasi ya Spika wa Bunge

 Mh. Job Ndugai ameteuliwa kuwa mgombea rasmi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM).

Wabunge wateule wa CCM wamempitisha Job Ndugai kuwania uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya wenzake wawili kujitoa.
                                                              
                                                                   Via>>EATV

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MBUNGE WA KWANZA KUTEULIWA NA MAGUFULI NI HUYU HAPA,JE NI ISHARA NJEMA KWA FURSA ZA WANAWAKE?, NDUGAI NAE KUCHAGULIWA KUWA MGOMBEA USPIKA ATAPITA? NAIBU WAZIRI JE?!

No comments :