Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » PENGINE ULISHA WAHI KUJIULIZA UTAISHI MIAKA MINGAPI HAPA DUNIANI?..HII NDIO RIPOTI MPYA KWA WANANCHI WA BARA LA AFIKA JUU YA MAISHA YAO.TZ JE?
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Umri wa kuishi barani Afrika unaongezeka kwa haraka ikiwa ni maradufu sawa na maeneo mengine duniani kulingana na shirika la afya dunia WHO.
Ripoti ya WHO inasema tangu mwaka 2000, umri wa kuishi umeongezeka kwa takriban miaka 10 zaidi.Kwa sasa mtu wa wastani anaweza kuishi hadi miaka 60.
Lakini Umri huo bado ni miaka 20 chini ya mtoto anayezaliwa katika mojawapo ya mataifa 29 yenye mapato makubwa.
Daktari Ties Boerma kutoka WHO amesema kwamba sababu moja ni kupungua kwa vifo miongoni mwa watoto kunakosababishwana chanjo.
Haya hapa mataifa yenye viwango vya juu vya umri wa kuishi Afrika:
Algeria - 75.6
Tunisia - 75.3
Mauritius - 74.6
Morocco - 74.3
Cape Verde - 73.3
Seychelles - 73.2
Libya - 72.7
Egypt - 70.9
Sao Tome - 67.5
Senegal - 66.7
Taifa la Ethiopia ni la 16 katika orodha hiyo likiwa na kiwango cha kuishi cha wastani wa miaka 64.8,Kenya ikiwa ya 22 na miaka 63.4,Ghana iko katika nafasi ya 25 ikiwa na miaka 62.4,Somalia ni ya 47 ikiwa na miaka 55 na Nigeria ni ya 48 ikiwa na miaka 54.5.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / PENGINE ULISHA WAHI KUJIULIZA UTAISHI MIAKA MINGAPI HAPA DUNIANI?..HII NDIO RIPOTI MPYA KWA WANANCHI WA BARA LA AFIKA JUU YA MAISHA YAO.TZ JE?

No comments :