Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » UNDER THE STARS NI MPYA YA JOHN LEGEND KWA AJILI YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA NIMEKUWEKEA HAPA.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Wakati akiwa anasubiri mtoto wake wa kwanza, mkali wa R&B, John Legend amerudi na nyingine mpya kwa ajili ya msimu wa mwaka huu kuelekea  Christmas na Mwaka Mpya ikiwa ni sehemu ya project ya Stella Artois: Give Beautifully Holiday Campaign .

Wimbo unaitwa ‘Under the Stars’, na kama unadhani kuna haja ya kuwa nyimbo bora kwa ajili ya x- mas basi huu wa John Legend unaweza kuanza nao ili nyinginezo zikukute ukiwa tayari unaendelea kuburudika.

isikilize na kuitazama hapa chini >>>>

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / UNDER THE STARS NI MPYA YA JOHN LEGEND KWA AJILI YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA NIMEKUWEKEA HAPA.

No comments :