Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » UKAWA NA HADITHI ZA KUTOKA NJE YA BUNGE SIKU YA HOTUBA YA RAIS {AUDIO}
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Wabunge wa Upinzani katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Watanzania Wanazomea Bungeni mara baada ya Kutangazwa Kuingia kwa Rais wa Zanzibar Mh Dk Ali Mohamed Shein.

Wanachopinga wabunge hao wanadai hawamtambui Dk Shein Kama Rais Halali wa Zanzibar.

Hali hiyo ilianza pale Naibu spika alipomuita Mwanasheria Mkuu wa Serikali  Kutengua Kanuni ili Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wameze Kuongozana  na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Magufuli wakati atakapokuja Kulihutubia Bunge na Kulizindua Rasmi ,Wabunge hao waliaanza Kupiga kelele Mara Baad ya Kutangazwa kuingia kwa Spika wa Baraza la Wakilishi Zanziba,Makamu wa Pili wa Rais ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar  Pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

awali akilihutubia bunge Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh  Dk. John Magufuli ameelezea vipolo vyote atavyoatatua hapa nchini na kuifaya Tanzania kufikia malengo yake huku akilaani kitendo cha zomea zomea kilichofanywa na wapinzani.

Akilihutubia bunge leo mheshimiwa Dr. John Pombe Magufuli amesema kuwa Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na suala la Katiba mpya ambayo amekili kuachiwa kiporo hivyo ataifanyia kazi ili kuikamilisha.

Baada ya Rais kuingia Bungeni hali ilikuwa ni ya kelele na kuzomeazomea kwa wabunge wa upinzani jambo lililomfanya spika wa bunge Mh. Job Ndugai kutumia mamlaka ya kikatiba kuwatoa wabunge hao nje ya bunge.

Wabunge wa Upinzani katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Watanzania wamefikia hatua hiyo ya kuzomea mara baada ya Kutangazwa Kuingia kwa Rais wa Zanzibar Mh Dk Ali Mohamed Shein wakidai hawamtambui Dk Shein Kama RaisHalali wa Zanzibar.

Akimalizia hotuba yake Rais Magufuli amewataka wapinzani kuungana na serikali na kuwa kitu kimoja kwani kwa kuzomea ndani ya bunge ni jambo la aibu na kuhitaji uvumilivu katika tukio hilo kwani watanzania wamewaona wabunge waliowachagua hivyo kuwapima kama wanaweza kuwaongoza hata baada ya miaka mitano.
 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh  Dk. John Magufuli anaelezea kuwa mambo yote vipolo atayatatua na kuifaya Tanzania kufikia malengo yake.

Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na suala la Katiba mpya ambayo amekili kuachiwa kiporo hivyo ataifanyia kazi ilikuikamilisha.

Suala la Muungano anaahidi kulifanyia kazi na kulitatua.

Baada ya Rais kuingia Bungeni hali ilikuwa ni ya kelele na kuzomeazomea kwa wabunge lakini upepo huo ulitulia..Wabunge wa Upinzani katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Watanzania Wanazomea Bungeni mara baada ya Kutangazwa Kuingia kwa Rais wa Zanzibar Mh Dk Ali Mohamed Shein.

Wanachopinga wabunge hao wanadai hawamtambui Dk Shein Kama RaisHalali wa Zanzibar.Hali hiyo ilianza pale Naibu spika alipomuita Mwanasheria Mkuu wa Serikali  Kutengua Kanuni ili Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wameze 

Kuongozana  na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Magufuli wakati atakapokuja Kulihutubia Bunge na Kulizindua Rasmi ,Wabunge hao waliaanza Kupiga kelele Mara Baad ya Kutangazwa kuingia kwa Spika wa Baraza la Wakilishi Zanziba, 

Makamu wa Pili wa Rais ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar  Pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. 

Hizi ni kauli za mh.rais Dokta John Pombe Magufuli>> 

https://www.hulkshare.com/ate3cnkq6eps 

https://www.hulkshare.com/2wzopsctsz1c

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / UKAWA NA HADITHI ZA KUTOKA NJE YA BUNGE SIKU YA HOTUBA YA RAIS {AUDIO}

No comments :