Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » USHAWAHI KUHISI KUNA SIKU ATATOKEA MSANII WA KUIGIZIWA HAPA TANZANIA KWA MFANANO NA MASHABIKI?SIKIA HII YA ABC FAMILY TV
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kituo cha runinga cha ABC Family kimetangaza kwamba kitaandaa mahojiano mtandaoni kumtafuta msichana atakayemuigiza Nicki Minaj.

Msichana atakayefanikiwa, atamuigiza Minaj alipokuwa mdogo kwenye filamu ya ucheshi ya nusu saa kuhusu maisha ya mwanamuziki huyo wa kufoka.

Filamu hiyo itaangazia maisha ya Minaj alipokuwa msichana mdogo mtaa wa Queens, New York miaka ya 1990 baada ya familia hiyo kuhamia mtaa huo kutoka Trinidad.

Msichana anayetafutwa anafaa kuwa na umri wa kati ya miaka 11 na 13

Nicki Minaj ndiye atakayesimamia filamu hiyo na pia ataandika mistari ya kutumiwa na msichana atakayemuigiza kwenye nyimbo za kufoka, yaani rap.

Maelezo kuhusu jinsi ya kuwasilisha maombi na kushiriki yamewekwa kwenye app ya Disney Applause na siku ya mwisho ni Novemba 15.

Nicki Minaj, ambaye jina lake halisi ni Onika Tanya Maraj, ana umri wa miaka 32 na anafahamika sana kwa nyimbo kama vile Anaconda, Bang Bang na Truffle Butter. Amependekezwa kuwania tuzo za Grammy mara saba.

Kituo cha ABC Family kimepanga kubadilisha jina na kuanza kuitwa Freeform Januari mwakani.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / USHAWAHI KUHISI KUNA SIKU ATATOKEA MSANII WA KUIGIZIWA HAPA TANZANIA KWA MFANANO NA MASHABIKI?SIKIA HII YA ABC FAMILY TV

No comments :