Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » RICK ROSE NA LIRA GALORE WAMEWEKA WAZI SABABU YA KUVUNJA UCHUMBA WAO.....INGIA HUMU NDANI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

CEO wa lebo ya Maybach Music Group (MMG) Rick Ross ameingia kwenye headlines za burudani baada ya mtandao wa TMZ Marekani kuripoti kuwa mapenzi na mahaba kati ya rapper huyo na mchumba wake Lira Galore yapo matatani kuisha!
Imepita miezi miwili tu toka Rick Ross aweke headlines nyingi sana kwenye social networks na websites baada ya kutangaza kuwa amemvesha pete ya uchumba mpenzi wake Lira Galore na very soon wawili hao watakula kiapo cha kuishi milele kama wanandoa… hali leo ipoje?!

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, wawili hao wameingia kwenye majibishano makubwa kitendo kilichopelekea Lira kuamua kupaki vitu vyake na kuhama kwenye nyumba ya Rick Ross, japo chanzo cha ugomvi wao bado hakijaweka hadharani ila Rossay ameonekana kukubaliana na kitendo hicho na kusita kuongea kitu chochote kwa sasa huku baadhi ya mitandao Marekani ikiripoti kuwa kuvunjwa kwa engagement hiyo ni kutokana na Lira kukutwa na mtu mwengine!

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / RICK ROSE NA LIRA GALORE WAMEWEKA WAZI SABABU YA KUVUNJA UCHUMBA WAO.....INGIA HUMU NDANI

No comments :