Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KANUNI MPYA ZA UWAZI NA UWAJIBIKAJI ZATANGAZWA NA RAIS MPYA WA BARAZA KUU
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Rais wa Baraza Kuu la UM Mogens Lykketoft. 

Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Mogens Lykketoft ametangaza leo kanuni mpya katika uongozi wa ofisi yake, huku nchi wanachama wakijadili leo marekebisho yanayohitjika ili Baraza Kuu liwe kweli bunge la mataifa. Taarifa zaidi na Priscilla Lecomte.
 
Akizungumza leo kwenye ufunguzi wa mjadala huo, Bwana Lykketoft amesema marekebisho ya Baraza Kuu ni lazima ili kupata ufanisi katika utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu.

Amesema kipaumbele ni kuimarisha utendaji kazi wa ofisi ya Rais wa Baraza Kuu, wakati ambapo uchunguzi juu ya tuhuma za rushwa unafanyika dhidi ya Rais wa 68 wa Baraza hilo John Ashe.

Bwana Lykketoft ametangaza kanuni tatu mpya ili kuimarisha kiwango cha maadili na utawala bora kwenye ofisi yake.

 "Kwanza umakinifu na uadilifu, ili kuwakilisha Baraza hilo bila upendeleo, na kuhakikishia usawa wa kijinsia na kijiografia. Pili uwazi na uwajibikaji, kwa kutoa taarifa kuhusu safara rasmi na matumizi. Tatu, utalaam na ufanisi." amesema Bwana Lykketoft

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KANUNI MPYA ZA UWAZI NA UWAJIBIKAJI ZATANGAZWA NA RAIS MPYA WA BARAZA KUU

No comments :