Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Njombe

Na John Banda

Emmanuel Masonga aliyekuwa mgombea ubunge kupitia Chadema jimbo la Njombe kusini
CHAMA cha demokrasia na maendeleo Chadema mkoa wa Njombe kimesema kuwa kimeanda nyaraka za kutosha tayari kwenda mahakamani kwaajili ya kuitaka mahakama kutengua matokeo ya ubunge jimbo la Njombe kusini ambalo alitangazwa mshindi kutoka chama cha CCM Edward Mwalongo.

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutoka katika mkutano wa kuunda kamati ya kushugulkikia kesi hiyo aliye kuwa mgombea wa ubunge jimbo la Njombe Kusini Emanuel Masonga kupitia chama hicho amesema kuwa wamefanikiwa kukusanya nyaraka zikatazo enda kuwasaidia mahakamani.

Masonga amesema kuwa wamefanikiwa kukusanya ushadidi na nyalaka 14 zitakazo wasaidia kuifanya mahakama itengue ushindi uliotangazwa na Tume ya uchaguzi kwa kumtangaza Mwalongo kuwa mshindi.

Mgombea ubunge wa jimbo la Njombe Kusini: Edward Mwalongo akijinadimbele ya wananchi
Amesema kuwa wakazi wa Jimbo lake la Njombe kusini wamejitolea kuhakikisha kuwa wanachangia gharama za kuendesha kesi hiyo itakapo anza mpaka itakapo fikia ukomo.
Amesema kuwa wanaenda mahakamani kupinga uteuzi aliouita ni batili uliotangazwa na Mkurugezi na kumtangaza yeye kuwa mshindi ama kuruduwa kwa uchaguzi katika jimbo hilo la Njimbe Kusini ili kutangazwa mshindi harali.

Hata hivyo Mwenyekiti wa kamati waliyounda kwaajili ya kushughulikia kesi hiyo Emmanuel Filangali alisema kuwa tayari vidhibiti vya kesi hiyo vimekusanywa na kupewa mawakili wao kwaajili ya kwenda kuisimamia kesi hiyo.

Hata hivyo chama hicho kinaziara ya jimbo zima kwaajili ya kuwaeleza wanachama wake katika mikutano ya ndani juu ya nini chama kinaenda kufanya huhusiana na ushindi wanao dai wamepokonywa.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

No comments :