Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » SIKU YA MAPUMZIKO YA KITAIFA KUTOA NAFASI KWA WATANZANIA KUSHUDIA KUAPISHWA KWA RAIS MTEULE..JOHN POMBE MAGUFULI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameitangaza Kesho siku ya Alhamisi Novemba 5 mwaka huu kuwa sikukuu na siku ya Mapumziko.

Rais Kikwete amefanya uamuzi huo ili kuwawezesha Watanzania kushiriki katika sherehe za Kuhitimisha Uongozi wa Serikali ya Awamu ya nne na kukaribishwa madarakani Mheshimiwa Dokta John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa Dar  es Salaam leo na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Rais  Kikwete ametoa uamuzi huo kwa mujibu wa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 3 cha sheria ya sikukuu za kitaifa.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / SIKU YA MAPUMZIKO YA KITAIFA KUTOA NAFASI KWA WATANZANIA KUSHUDIA KUAPISHWA KWA RAIS MTEULE..JOHN POMBE MAGUFULI

No comments :