Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KAMA ULIDHANI RAIS MAGHUFULI NI MTU WA KUAGIZA IMEKULA KWAKO, MTAZAME HAPA AKIJUMUIKA NA WATANZANIA KATIKA SIKU YA UHURU AKIFANYA USAFI KARIAKOO
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Raia nchini Tanzania wameungana na maafisa wa serikali kuitikia wito wa Rais John Magufuli wa kutumia Siku ya Uhuru kufanya usafi.

Mamia ya watu walirauka na kuanza kusafisha baadhi ya maeneo ambayo hujulikana sana kwa kuwa na uchafu na taka kwa wingi.

wachuuzi na maafisa wa baraza la jiji Dar es Salaam asubuhi na mapema walionekana wakifanya usafi katika soko maarufu la Kariakoo.Wengi wamefurahia agizo la Rais.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pia amefika soko hilo la Kariakoo kushirikiana na watanzania wengine waliojitokeza maeneo hayo jijini dar es salaam.

Rais John Magufuli naye amekuwa kwenye aneo la ufuo wa bahari karibu na ikulu akiwa amevalia glavu.
Katika eneo la Mwenge, wananchi pia wanajizatiti kufanya usafi. Mwandishi wa BBC Regina Mziwanda amewapata wananchi hawa wakiteketeza takataka baada ya kuzikusanya pamoja.

Wakazi wakichoma taka eneo la Mwenge
 
Hata katika maeneo ya kifahari, wananchi wamejitokeza kufanya usafi.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KAMA ULIDHANI RAIS MAGHUFULI NI MTU WA KUAGIZA IMEKULA KWAKO, MTAZAME HAPA AKIJUMUIKA NA WATANZANIA KATIKA SIKU YA UHURU AKIFANYA USAFI KARIAKOO

No comments :