Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MWANAMIELEKA WA PILI KWA UBORA DUNIANI HUYU HAPA KUTOKA IRAN NYUMA YA ARTUR ALEKSANYAN
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mwanamichezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ghasem Rezaei ametangazwa kuwa mwanamieleka wa pili bora duniani, katika kitengo cha wanamieleka wenye kilo zisizopungua 98, kwenye mtindo wa Greco-Roman. 

Kwa mujibu wa orodha mpya ya Shirikisho la Mieleka Duniani UWW, mwanamiekeka huyo wa Iran mwenye umri wa miaka 35 ndiye wa pili bora duniani, nyuma ya raia wa Armenia, Artur Aleksanyan. 

Rezaei ambaye alinyakua medali ya dhahabu katika mashindano ya olimpiki ya London mwaka 2012, mwezi Septemba mwaka huu alijishindia medali ya fedha katika duru ya 12 ya mashindano ya mabingwa wa mieleka yaliyofanyika jimboni Las Vegas nchini Marekani. 

Mwanaspoti huyo wa Iran aliibuka wa pili baada ya kumlemea Elis Guri wa Bulgaria katika mpambano wa nusu fainali.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MWANAMIELEKA WA PILI KWA UBORA DUNIANI HUYU HAPA KUTOKA IRAN NYUMA YA ARTUR ALEKSANYAN

No comments :