Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » BAADA YA ATLETICO MADRID,REAL MADRID KUPITA LEO KAZI YA BARCA MBELE YA ARSENAL-BARCA WASEMA IPO SAWA TU KUVUKA HATUA NYINGINE
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

KOCHA wa Barcelona Luis Enrique amesema wao hawabweteki na hawatilii maanani kuwa na faida baada ya kuifunga Arsenal 2-0 katika Mechi ya Kwanza ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UCL, UEFA CHAMPIONZ LIGI huko Emirates bali wataingia ngangari katika Mechi ya Marudiano Jumatano Usiku huko Nou Camp.

Barca wanatinga kwenye Mechi hii wakiwa hawajafungwa katika Mechi 37 na wameshinda Mechi zao 8 zilizopita huku wakiwania kutinga Robo Fainali ya UCL kwa mara ya 10 mfululizo.
Katika Mechi ya kwanza huko Emirates, Bao 2 za Mchezaji Bora Duniani, Lionel Messi, ndizo ziliwapa Barca ushindi wa 2-0 dhidi ya Arsenal.
Mshindi wa Mechi hii atatinga Robo Fainali ya UCL.
Mechi zao zilizopita za Wikiendi:
Barcelona 6-0 Getafe (Juan Rodríguez 8 Kajifunga, El Haddadi 19, Neymar 32 51, Messi 40, Arda Turan 57)
-Ushindi huu umezidi kuwachimbia Barca kileleni mwa La Liga.
Arsenal 1-2 Watford (Ighalo 50, Guedioura 63; Welbeck 88)
-Kipigo hiki kiliwatupa Arsenal nje ya FA CUP ambayo wao walikuwa Mabingwa Watetezi kwa Misimu Miwili iliyopita.
VIKOSIN VINATARAJIWA KUWA:
Barcelona: Ter Stegen; Alves, Mathieu, Mascherano, Alba; Busquets; Rakitić, Iniesta; Messi, Suárez, Neymar.
Hawatacheza: Rafinha (Goti), Sandro (Musuli), Piqué (Kifungo)
Arsenal: Ospina; Bellerín, Mertesacker, Gabriel, Monreal; Coquelin, Elneny; Campbell, Özil, Sánchez; Giroud.
Hawatacheza: Ramsey (Paja), Čech (Musuli), Cazorla (Kifundo cha Mguu), Oxlade-Chamberlain (Goti), Rosický (Paja), Wilshere (Mguu)
Hatihati: Koscielny (Tatizo la Mguu)
REFA: Sergei Karasev (Russia)
UEFA CHAMPIONZ LIGI
RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16
Marudiano
**Mechi zote kuanza Saa 4 Dakika 45 Usiku
**Kwenye Mabano Matokeo Mechi za Kwanza
JUMANNE 15 MAR 2016
Atletico Madrid v PSV Eindhoven [0-0]
Man City v Dynamo Kiev [3-1]    
JUMATANO 16 MAR 2016
Barcelona v Arsenal [2-0]
Bayern Munich v Juventus [2-2]
++++++++++++++++++++++++++++
TAREHE MUHIMU:
Raundi za Mtoano:
-Droo ya Robo Fainali: Machi 18
**Mechi Aprili 5/6 na Marudiano Aprili 12/13
-Droo ya Nusu Fainali: Aprili 15
**Mechi Aprili 26/27 na Marudiano Mei 3/4
FAINALI
Mei 28
San Siro, Milan, Italy

Via SOKAINTANZANIA.COM

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / BAADA YA ATLETICO MADRID,REAL MADRID KUPITA LEO KAZI YA BARCA MBELE YA ARSENAL-BARCA WASEMA IPO SAWA TU KUVUKA HATUA NYINGINE

No comments :