Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » REKODI HIZI ZA SOKA NI ZA KAWAIDA LAKINI ZINA MASHIKO
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Fc Barcelona ndio timu iayoongoza kwa kutwaa mataji mengi zaidi makubwa Ulaya, mataji haya ni ya michuano yote kwa ujumla.

Barca imetwaa mataji 89 ikifuatiwa na Real Madrid kwa kutwaa 82,namba tatu ipo Bayern Munich  64, ya nne ni Manchester United na mataji 62 huku Liverpool ikifuatia kwa makombe 60,Juventus 59,AC Milan 49 na Arsenal 43.

*Jumamosi ya august 15 mwaka 1992 ndio rasmi ligi ijulikanayo kama EPL ilifunguliwa Rasmi lakini pia mchezaji wa kwanza kufunga goli alikuwa ni  Brian Deane wa Sheffield United na manchester united ikiwa ndio timu ya kwanza kuchukua kombe hilo.

Timu zilizoshiriki michuano hiyo zilikuwa ni hizi hapa...Arsenal, Aston Villa, Blackburn Rovers, Chelsea, Coventry City, Crystal Palace, Everton, Ipswich Town, Leeds United, Liverpool, Manchester City, Manchester United, Middlesbrough, Norwich City, Nottingham Forest, Oldham Athletic, Queens Park Rangers, Sheffield Utd, Sheffield Wednesday, Southampton, Tottenham Hotspur, and Wimbledon.

Lakini tangu msimu wa 1995/96 kombe la ligi kuu nchini uingereza limekuwa likitwaliwa na timu kutoka majiji ya London na Manchester, lakini msimu huu kawaida hiyo imekuwa kinyume baada y akombe hilo kutoka katika mipaka ya majiji hayo.

Leicester City imeumaliza ufalme wa Vigogo wa majiji hayo baada ya kulipeleka kombe hilo katika jiji la Leicester  baada ya miaka 22 kuwa ndani ya Manchester na London.

Kabla ya Leicester city kuvunja rekodi hiyo mara ya mwisho kombe hilo kutoka nje ya majiji ya london na manchester ilikuwa ni Blackburn Rovers msimu wa 1994/95.

* kama unadhani Umri unaweza kuwa kigezo cha kumiliki mataji mengi ya mashindano mbalimbali basi unakuwa unakosea,dogo mmoja mwenye umri wa miaka 19 tu amefanikiwa kutwaa mataji matatu tena akiwa na vilabu tofauti katika ligi kubwa barani ulaya.

Huyu si mwingine bali ni Kingsley Coman raia wa Ufaransa ambaye hadi sasa katwaa makombe ya ligi kuu akiwa na Psg {Ligue 1} pia akiwa na Juventus {Seria A} pamoja na kombe lingine akiwa na Bayern Munchen {Bundesliga} alipokuwa akiichezea kwa mkopo akitokea Juve klabu inayommiliki hadi hivi sasa.

*Mechi ya soka inayoaminika kuingiza watazamaji wengi uwanjani ni ile iliyozikutanisha timu za taifa za Brazil na Uruguay katika fainali za kombe ya dunia kwenye uwanja wa Maracana katika jiji la Rio De Jeneiro nchini Brazil mwaka 1950 julai 16 ikiwa na mashabiki 199,854 huku idadi ya mwanzo ikitajwa kuwa ni 173,850.

katika mechi hiyo Uruguay ilishinda magoli mawili kwa moja

Chanzo: champion tanzania

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / REKODI HIZI ZA SOKA NI ZA KAWAIDA LAKINI ZINA MASHIKO

No comments :