| Jinsi kilivyo ndivyo kilivyowafundisha soka halotel..ilikuwa ni kampa kampa tena ni hatariiii |
| sehemu ndogo hii ya mashabiki waRasi Fm Stars wakiwemo watangazaji |
| Namuona Programme manager wa Rasi Fm akiwa na mchecheto wa kufa mtu hapo |
| hiki ndicho kikosi cha Halotel ambacho leo kilikuwa na kazi ya ziada |
No comments
Post a Comment