Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MANCHESTER UNITED KAMA KAWAIDA YAO WALALA 2 - 0 KWA STOKE CITY ..........VIDEO...
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Dimba la Britannia lilikuwa gumu kwa Man United kwani waliamulia kichapo cha goli 2-0 kutoka kwa wenyeji wao Stoke City, hali ilianza kuwa mbaya kwa Man United kuanzia dakika ya 19 baada ya Stoke City kupata goli la uongozi kupitia kwa Bojan Krkic na dakika ya 26 Marko Arnautovic akapachika goli la pila na la mwisho. 

Kwa matokeo hayo Louis van Gaal anazidi kuwa na hali mbaya ya kuendelea kusalia Man United.

Video ya magoli ya mechi ya Stoke City Vs Man United

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MANCHESTER UNITED KAMA KAWAIDA YAO WALALA 2 - 0 KWA STOKE CITY ..........VIDEO...

No comments :