Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » HII HAPA NDIO NEMBO YA NBA ALL STAR 2017...YATAMBULISHWA RASMI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Shirikisho la mpira wa kikapu la NBA nchini Marekani limetambulisha rasmi logo mpya ya mashindano ya NBA All Star 2017.

Logo hiyo mpya imedhihirisha mji wa Charlotte kuwa mwenyeji wa maandalizi ya mashindano hayo ya NBA All Star 2017.

Mji wa Charlotte ulioko katika jimbo la North Carolina, umepata fursa ya kuandaa NBA All Star kwa mara ya pili tangu mwaka 1991.

Logo hiyo mpya imepambwa kwa picha ya taji la malkia Charlotte aliyewekewa kumbukumbu ya heshima kwa jina la mji.

Vile vile rangi ya logo hiyo mpya pia imeigwa kutoka kwenye klabu ya mji huo inayoitwa Charlotte Hornets.

Mashindano ya 66 ya NBA All Star yataandaliwa tarehe 19 Februari 2017 siku ya Jumapili kwenye uwanja wa Time Warner Cable Arena.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / HII HAPA NDIO NEMBO YA NBA ALL STAR 2017...YATAMBULISHWA RASMI

No comments :