Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » RAIA UGANDA WAPIGA KURA, LAKINI KADHIA ZA USAFIRI ZAIBUKA,VITUO BAADHI KUCHELEWA KUFUNGULIWA NI JAMBO JINGINE LAKINI PIA WAKIMALIZA KUPIGA WAREJEE MAKAZINI MWAO....PICHAZI & HABARI}
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Raia wa Uganda wanapiga kura hii leo ili kumchagua rais atakayeiongoza nchi hiyo, huku nauli za vyombo vya usafiri zikipandishwa kutokana na raia wengi wakisafiri kwenda katika maeneo yao ya kupigia kura.

Kutoka nchini Uganda taarifa zinasema kuna kadhia na usafiri zinazowafanya raia wan chi hiyo wanaosafiri kuelekea maeneo mengine hasa vijijini kupata taabu.

Hata hivyo polisi wamewataka wananchi kuwa na imani na tume pamoja na maafisa usalama pia kutoa maelekezo ya kurejea katika shughuli zao mara baada ya kupiga kura na sio kubaki maeneo ya kupigia kura kwa madai ya kusubiri matokeo.

Hata hivyo taarifa za hivi punde zimesema kuwa mamlaka ya mawasiliano nchini humo imekata mawasiliano yote ya mitandao ya kijamii ikiwemo Facebook,Tweeter,Watsapp,instagram pamoja na njia zote za kutuma na kupokea fedha kwa njia ya mtandao.

katika ngazi ya urais macho na masikio ya wengi ni kwa Rais wa sasa Yoweri museven kutoka chama tawala cha NRM, Amama Mbabazi aliyekuwa waziri mkuu wa rais museven ambaye ni mgombea huru pamoja na mpinzani mkuu wa rais museven kizza Besigye kutoka chama cha upinzani cha FDC.
 
hivi sasa Wapiga kura nchini humo wanaendelea kupiga kura vituoni kuwachagua viongozi, ingawa katika baadhi ya vituo upigaji kura ulichelewa kuanza.

Hili lilitokana na vifaa na karatasi za kupigia kura kutofikishwa vituo kwa wakati katika baadhi ya maeneo.

Mjini Kampala, ambapo makao makuu ya Tume ya Uchaguzi yapo, bado kuna vituo ambavyo kufikia saa nne upigaji kura haukuwa umeanza.

Hata hivyo, tume hiyo kwenye ukurasa wake wa Twitter, imeandika: "Tunabaki kuwa na matumaini na tunawahikishia kwamba nyote mtaweza kupiga kura leo. Tunasikitika kutokana na kuchelewa huku. Asanteni.”

Kuhusu iwapo muda wa kupiga kura utaongezwa, tume hiyo kupitia mitandao ya kijamii imesema kwa mujibu wa sheria, ni sharti vituo vifungwe saa kumi alasiri.

Raia katika maeneo mengi nchini humo pia wanalalamikia kutatizika wakiingia mitandao ya kijamii kama vile Twitter, Facebook na WhatsApp, sana kwa kutumia simu. Serikali haijaeleleza ni nini chanzo cha matatizo hayo.
Kuna wagombea saba wa urais wanaojaribu kuhitimisha uongozi wa Rais Yoweri Museveni ambaye ameongoza kwa miaka 30 sasa.
Wanaotoa ushindani mkubwa kwa Bw Museveni ni mgombea wa FDC Kizza Besigye na waziri mkuu wa zamani Amama Mbabazi.

Kuna jumla ya wapiga kura 15 milioni ambao wamejisajili kupiga kura nchini humo kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / RAIA UGANDA WAPIGA KURA, LAKINI KADHIA ZA USAFIRI ZAIBUKA,VITUO BAADHI KUCHELEWA KUFUNGULIWA NI JAMBO JINGINE LAKINI PIA WAKIMALIZA KUPIGA WAREJEE MAKAZINI MWAO....PICHAZI & HABARI}

No comments :