Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » BENKI YA POSTA TAWI LA DODOMA YAKABIDHI KOMYUTA 10 KWA AJILI YA KUFUNDISHIA KATIKA SHULE YA TUMAINI ENGLISH MEDIUM ACADEMY MKOANI DODOMA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Picha zote na John Banda

Meneja wa Benki ya Posta Tanzania Tawi la Dodoma Twaha Halfan akimkabidhi Meneja wa Tumaini English Medium Academy ya Nkhungu Dodoma Jaffety Biseko Moja ya Komyuta kati ya 10 zenye Thamani zaidi ya 4mil, kwa ajili ya kuimalisha darasa la komyuta shuleni hapo.

Mwalimu Tabitha Isanzu wa Darasa la Komyuta katika shule ya Tumaini English Medium Academy ya Nkhungu Dodoma, akiwaelekeza wanafunzi wa Darasa hilo namna ya kuandika kwa kutumia komyuta.

Meneja wa Benki ya Posta Tawi la Dodoma Twaha Halfan akibadilishana mawazo na Meneja wa Shule ya Tumaini Medium Academy ya Nkhungu Dodoma Jaffety Biseko [Kulia] na Mkuu wa shule hiyo Bariki Jailo mala baada ya makabidhiano ya Komyuta 10 zilizotolewa na Benki hiyo.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / BENKI YA POSTA TAWI LA DODOMA YAKABIDHI KOMYUTA 10 KWA AJILI YA KUFUNDISHIA KATIKA SHULE YA TUMAINI ENGLISH MEDIUM ACADEMY MKOANI DODOMA

No comments :