Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » BAADA YA TUKIO LA NYOSO LA JANA DHIDI YA JOHN BOCCO, NYOSO ACHUKULIWE HATUA KAMA ALIVYOAHIDI RAIS WA TFF jAMAL MALINZI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

kumbukumbu ya picha ya Nyoso akifanya tukio la udhalilishaji dhidi ya Elius Maguri msimu uliopita wakati Maguri akicheza kwenye klabu ya Simba SC na tukio hilo hilo amelifany akatika mechi dhidi ya Azam fc jana

 Mchezaji na nahodha wa timu ya Mbeya City Juma Nyoso ameendelea kufanya vitendo ambavyo si vya kiungwana na vinavyohitaji kupingwa kwa nguvu zote kwenye soka si la Tanzania pekee bali duniani kote ambako mchezo huu unachezwa.

Nyoso amemfanyia kitendo cha udhalilishaji mchezaji na nahodha wa Azam FC John Bocco ‘Adebayo’ wakati wa mchezo wa timu ya Azam FC dhidi ya Mbeya City uliochezwa kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi ambapo Azam FC waliiibuka na ushindi wa goli 2-1.

Kitendo kilichofanywa na Juma Nyoso ni cha kulaaniwa na kupigwa vita kwasababu kinaharibu maana halisi ya mchezo wa soka ambao ni wa kistaarabu unaochezwa na waungwana wapenda amani lakini kwa beki huyu wa Mbeya City haiko hivyo.

Msimu uliopita Nyoso alimfanyia kitendo kama alichokifanya leo kwa John Bocco aliyekuwa mshambuliaji wa Simba kwa wakati huo Elius Maguri ambaye kwa sasa anakipiga Stand United ya Shinyanga. Mazingira ya matukio hayo mawili yanafanana kwa asilimia nyingi.

Beki huyo wa zamani wa Simba SC alifanya tukio hilo wakati mpira ukiwa umesimama kama ilivyokuwa kwa Maguri msimu uliopita. Tukio la kumdhalilisha Maguri lilipelekea Nyoso afungiwe kucheza mechi nane za ligi kuu Tanzania bara.

Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF Jamal Malinzi amethibitisha hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa mchezaji aliyefanya kitendo hicho, Malinzi amethibitisha hilo kupitia account yake rasmi ya twitter. Lakini hii sio mara ya kwanza kwa beki na nahodha wa Mbeya City Juma Nyoso kufanya kitendo hicho, alishawahi kumfanyia Elias Maguli na kupewa adhabu ya kufungiwa mechi nane mwanzo mwa mwaka 2015.

haya ndio maneno aliyoyaandika mheshimiwa Rais wa Tff

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / BAADA YA TUKIO LA NYOSO LA JANA DHIDI YA JOHN BOCCO, NYOSO ACHUKULIWE HATUA KAMA ALIVYOAHIDI RAIS WA TFF jAMAL MALINZI

No comments :